1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ 260k
: Ubungo Makoka kwa Mkuwa
: Dakika 4 kwa Mguu kutoka Barabara ya Rami inayotokea KOROGWE Kwenda EXTERNAL
Unaweza Ukapitia KIMARA KOROGWE Usafiri Bajaj 500 Barabara Mpya
Unaweza Ukapitia External Usafiri Bajaj 500 Barabara Mpya
Nyumba hii itakuwa wazi kuanzia tarehe 07.11.2025 kuona na kulipia ruksa kabisa
============
โข Sebule Kubwa
โข Chumba Kimoja Kikubwa Master
โข Jiko lake Kubwa la Kisasa
โข Public Toilet ya Wageni
Apartment zipo 4 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
Tsh. 260,000/- Malipo Miezi 6
Survey Charge ni 15,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba
0713661530_0783661530