1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Haya sasa wale wateja mnaopenda nyumba za karibu na barabara kazi kwenu
Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location ubungo riverside dakika 8 kutembea mpaka home
Kodi 230000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Jiko
Umeme luku
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking space kubwa
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128