1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA
#KODI 200,000X6
LOCATION #UBUNGO_MAKOKA KM2
#USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#MAJI DAWASCO 24HRS
#UMEME LUKU WAWILI
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK CCTV CAMERA ๐ท
NB: NYUMBA INAPIGWA RANGI YOTE UNAINGIA IKIWA SAFI KABISA
#0785889413๐ฅ๐ฅ