1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







NI CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANA NA KISEEM CHA JIKO
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE KUPITIA UKU KIBANGU
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 700 UKISHUKA DK 2 TU UPO NYUMBAN
KODI NI 160,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
CHUMBA KINA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 K FEN JUU PANGA BOY NDAN YA FENSI PARKING SPACE KUBWA LUKU SUBMETER YAKO NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW CHOONI
MAZINGIRA MAZURI SANA NA TULIVU PERVING BLOCK SAFI
SURVEY CHARGE ELFU 20,000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT O677370515