1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







NEW Master Bedroom Classic For Rent ✨️
Location: UBUNGO MAKOKA
Distance: KM 2 Kutoka UBUNGO RIVERSIDE STAND Au KIMARA KOROGWE MWENDOKASI
Usafiri 24Hours Bajaji 500
PRICE: 150,000 × 6
✔️Chumba Kimoja Kikubwa
✔️Jiko Kubwa Zuri
Linawekwa Makabati JUU Na CHINI
✔️Choo Kizuri Ndani
✔️Umeme SUB-METER Yako
✔️Maji Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Tires,Gypsum Na Slide Windows
✔️Ipo Kwenye Fence
✔️Parking Space Available
✔️Usalama Kama LUGALO 👍
✔️Good Environment 💥
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp