1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







(200,000 × 6) UBUNGO EXTERNAL JESHINI
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 5 Kutoka Kwenye Barabara ya Lami ya mtaani
- Ina Chumba KIMOJA Cha Kulala
- Sebule Kubwa
- Jiko Kubwa
- Choo Kizuri Ndani
- Reserve Tank (Dawasa)
Apartment Zipo 4 Kwenye Fensi Parking Ipo na Kila Apartment IInajitegemea Umeme LUKU na Maji Dawasa Yanaflow Ndani
TSh. 200,000/- Malipo Miezi 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300



















