1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 250,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 KUTOKA UBUNGO EXTRENAL AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI UKISHUKA UNATEMBEA DK 2
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK 🚫
NB: NIMESHUSHA BEI WAI TU WAI NDUGU MTEJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347