1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
๐น๐ฟSTAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILY
IPO KWENYE MAREKEBISHO INAPANGISHWA
LOCATION: UBUNGO KIBO
UMBALI WA DAKIKA 3 KWA MGUU KUTOKA MOROGORO ROAD ๐ถ๐ถ
SEBULE KUBWA SANA
DINNING ROOM
VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
PUBLIC TOILET YA NDANI Na BAFU LAKE
JIKO KUBWA SANA
KODI 350,000 ร 6
IPO NDANI YA FENCE
PARKING IPO
MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
RESERVE TANKS
TIRES,GYPSUM Na MADILISHA YA WAVU YENYE HEWA SAFI
UKILIPIA NYUMBA HII INAPIGWA RANGI YOOTE NA UNA KABIDHIWA IKIWA MPYAA KABISA ๐ฐโ๏ธ
SERVICE CHARGE 15,000/=
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp