1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 250,000/= X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA
MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#PABLICK TOILET NJE
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK
NAFAULISHA UKIWA NA MTEJA UPIGE CM MAPEMA ILI AWEZE KUONA NDANI
Kwa maelezo zaidi piga ;--
0712528820
0685221354
Mr.