1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment ya chumba kimoja master
@
Kinapangishwa
@
Bei laki mbili
@
Kodi ya miez 3 na dalali 4
@
Kipo maeneo ya ubungo msewe
@
Dakika 8 toka barabaran adi kwenye nyumba
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687