1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location ubungo riverside kibangu dakika 12 kutembea mpaka home
Kodi 270000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Jiko
Umeme luku
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking space
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















