1 Bedrooms House for Rent at Ukonga, Dar Es Salaam







STAND ALONE INAPANGISHWA
BEI: 150,000TSH
📍 : UKONGA MAZIZINI
✔️SEBULE KUBWA
✔️CHUMBA KIMOJA CHA KULALA CHENYE CHOO CHAKE NDANI
✔️JIKO
✔️UKILIPA MIEZI SITA UNAFUNGIWA UKUTA WA MBELE ULIOBAKIA
✔️NYUMBA INAJITEGEMEA PEKE YAKE NDANI YA FENSI
✔️PARKING IPO
☎️0788 077337 ☎️ 0625 637254