1 Bedrooms House for sale at Heka, Singida


SHAMBA LINAUZWA
SHAMBA LINA UKUBWA WA HEKA SABA(7)
SHAMBA LIMESHAPIMWA NA LINA HAT YA WIZARA YA ARDH
SHAMBA LIPO KIBAHA TUMBI
#SIFA_ZA_ENEO
KUNA NYUMBA YA MAKAZI YENYE VYUMBA V3 VYA KULALA,CHUMBA KIMOJA NI MASTER BEDROOM,SEBULE YENYE DINNING ROOM,JIKO NA PUBLIC TOILET, PIA KUNA UMEME WA TANESCO NA MAJI YA DAWASCO, KUNA MATANK MAKUBWA YA MAJI
KUNA MAZAO MBALIMBALI (MIEMBE,MICHUNGWA,MINANASI,MIGOMBA,MIKOROSHO,
MIHOGO)
SHAMBA LINA MABANDA MAWILI YA KISASA YA KUFUGIA NG'OMBE NA PIA KUNA MABWAWA MAKUBWA MAWILI YA KUFUGIA SAMAKI
MAJI YA DAWASCO YAPO PAMOJA NA UMEME PIA KUNA TANKI KUBWA LA KUHIFADHIA MAJI
BARABARA NI RAFIKI NA INAFIKA MPKA SITE
ENEO LIPO FULL DOCUMENT
BEI: 160 MILLION
SERVICE CHARGE YA KUPELEKWA SITE 30000/=
KWA MAWASILIANO ZAIDI
☎️ #0757208653