1 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa kivule Sokoni wilaya ya Ilala Dar
📌BEI MILION 63 BEI INAPUNGUA usiogope📌
0759128747 0712058357
Vyumba vya kulala jumla ni v4
👉NYUMBA kubwa ni v3 kimoja masta
Dining, siting, jiko na stoo
👉NYUMBA ndogo ni chumba kimoja na sebule
Tailiz jipsam umeme
Kuna kisima kirefu cha maji safi
Eneo sqm 430 (makadilio)
Unatembea tu had stend
Nyaraka za serikali ya mtaa
Gari moja tu hadi mjini
whatsap au piga



















