1 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam







NYUMBA UNFINISHED (PAGALE) ZURI SANA LINAUZWA BINAFSI
IPO MADALE NYAKASANGWE NAKALEKWA DAR ES SALAAM TANZANIA
PLOT SIZE: SQM 400
BEI: TSH MILIONI 18
UMILIKI: MKATABA WA SERIKALI YA MTAA
SIFA ZA NYUMBA:-
-VYUMBA VYA KULALA VITATU
-CHUMBA KIMOJA NI MASTER
-SEBULE
-DINNING
-JIKO NA STOO
-CHOO CHA PUBLIC
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 30. HII HAIHUSISHI USAFIRI
TUWASILIANE
0746 433 854