1 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







Nyumba ya biashala inauzwa
Nyumba ipo mbagala mission
Nyumba inauzwa kwa niaba ya bank
Nyumba ina vyumba 12 na boycoter ya chumba kimoja
Eneo sqm 400
Ipo umbali wa miter 100 kutoka lami
Bei mil 85
Hati leceni ya makazi
Nyumba ipo full wapangaji kote
Nyumba inauzwa kwa mnada
Karibu sana mteja