1 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
BEI MILIONI 85 MAONGEZI YAPO
=======
NYUMBA INAUZWA YA KISASA
IPO MBEZI KWA MSUGURI
=========
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 4
========
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA BODA 1500
=========
SIFA YA NYUMBA
INA VYUMBA VYA KULALA VITATU KIMOJA MASTER BEDROOM SEBULE DINNING NA PUBLIC TOILET
========
MAJI DAWASCO
KUNA CCTV CAMERA
=========
BARABARA INAFIKIKA MUDA WOTE HATA KIPINDI CHA MVUA
==========
KUPELEKWA KUONA 25000
0679447338
0753454167