1 Bedrooms House for sale at Moshono, Arusha


INAPANGISHWA MOSHONO E COMPLEX ARUSHA
Ipo lami kabisaaa🤗🤗
Ni chumba kimoja cha kulala
Ina sebule
Ina jiko lenye makabati
Ina choo ndani
Umeme unajitegemea
Ina parking
Nyumba ipo lami kabisa
Bei 230,000/=kwa mwez
Call 0758105801