1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINAPANGISHWA BEI YA KUTUPA KABISAA ZIPO NNE KWENYE COMPOUND MOJA TUUU
💧Location :: GOBA ROAD NJIA PANDA YA MAKABE
BAJAJI: 1000
DALADALA:700
💧Bei :: 250,000Tsh kwa mwenzi
MALIPO MIEZI 6
Muundo wa Nyumba;
📍chumba ( kimoja Masta)
📍Sebule kubwa
📍umeme na Maji unajitegemea
📍Jiko Kubwa
👉paving block
👉parking kubwa kabisaa
📍Feni
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0782428327
Call /Whatsapp