1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINAPANGISHWA;
UMBALI WA KILOMETA 1 BODA 1000
#CHUMBA_SEBULE_NA_JIKO_CHOO NDANI
đź’§Location :: GOBA CENTRE
đź’§Bei :: 400,000 kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba kimoja
📍Sebule Kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko Kubwa
📍Fence
📍Feni
📍Umeme wako
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747