1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA CENTER
💧Bei :: 250,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba Kimoja Masta
📍Sebule kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0653057770
0693460720
Call /Whatsapp