1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kariakoo, Dar Es Salaam
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ 200k
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: MAJI CHUMVI BARABARANI
Usafiri Kutoka EXTERNAL Bajaj 500 Ukishuka Tu Unaingia Ndani
Pia Kuna Daladala za Kariakoo Mnazi Mmoja
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule kubwa Sanaaa
โข Chumba Kimoja Cha Kulala Master Bedroom Kikubwa
โข Public Toilet ya Wageni
โข Sink lake la Kuoshea Vyombo
Apartment zipo 4 ndani ya Fensi Parking ipo Mazingira Mazuri Umeme LUKU INAJITEGEMEA na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 200,000 Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
0715949085
0782838336