1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
1. MASTER BEDROOM ( CHUMBA CHOO NDANI)
BEI SH 80,000/=
MIEZI 3,4,5,6
2)▫#CHUMBA_MASTER
▫#SEBULE
▫ #JIKO
BEI SH 180,000/=
MIEZI 3,4,5,6
◇ Maji Dawasco umeme vyote vipo UNAJITEGEMEA
◇NOTE - Umbali KM 2. tu kutoka Morogoro road BAJAJ 1000 PIKIPIKI SH 1500
KUONESHWA NYUMBA SH 15k
Dalali mwezi moja
PIGA SIMU
0679447338
0753454167