1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿#APARTMENT #INAPANGISHWA
📍Kimara Korogwe
🕓Umbali wa Dakika 3 Kutembea Kutoka Mwendokasi.
#SIFAZAKE
🔸Chumba Kimoja master
🔸Sebule
🔸Jiko
🔸Umeme & Maji #Inajitegemea
🔸Fence & Parking Kubwa
👉Zipo apartments 4 kwenye Compound hii ndio Ikowazi
🔹Kodi Tsh 300,000/=×6(Miezi Sita)
🔹Malipo ya Dalali Tsh 300,000/=
🔹Service Charge Tsh 15, 000/=
📌📌 NOTE. ANATAKIWA MPANGAJI MUISLAM
#Piga_simu👇
#0627977383 📞. &Whatsapp
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😁