1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA 200,000X6
--------
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI MWISHO UKIWA UNATOKEA MJINI UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
USAFIRI WA BODABODA NI ELFU MOJA MPAKA KWENYE NYUMBA, KWA MWENDO WA MIGUU NI DK 15 KUTOKA STOP OVER STAND.
-----
SIFA ZAKE =
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
FULL PEVING BLOCK
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
-------
KODI NI LAKI 200,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA .
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
-----
MPANGAJI AMESHAAMA NYUMBA IPO WAZI RUKSA KUONA NA KULIPIA
What saapp Number 0689-547258