1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO YA JUU #BEI 200K
#MASTER BED ROOM NA JIKO LAKE
#CHUMBA KIMOJA NA CHOO NDANI NA JIKO
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#LUKU SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA QUESTION MONEY YA KULINDA NYUMBA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.