1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Bucha
🕑Dakika 2 umbali kutoka standi ya mwendo kasi kalibu na barabara sana
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja
🔹Sebule
🔹Choo ndani
🔹 Sehemu ya jiko
🔹Umeme LUKU submiter , Maji yapo nje
🔹Nyumba ipo ndani ya fance mazingira tulivu sana
🔶Kodi Tsh 150, 000/=× miezi 6 kuendelea
🔶Malipo ya Dalali Tsh 150, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#0710614924
#0688653940