1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA
NAFAULISHA MTEJA
Kimara korogwe
Dakika 8_10 kwa mguu kutoka standi ya mwendo kasi boda 1000 Tu
SIFAZAKE
Chumba Kimoja Master kikubwa
Sebule
Jiko
Umeme LUKU yake, Maji yanaflow ndani
Fence &packing kubwa
Kodi Tsh 250, 000/=Γ6(Miezi Sita)
Malipo ya Dalali Tsh 250, 000/=
Service Charge Tsh 15, 000/=
KARIBUNI
#0710614924
#0688653940