1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment inapangishwa KIMARA BARUTI dk8 - 10 kwa Mguu
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Sebule kubwa
Public toilet
Umeme wa luku
Full tilles, gypsum & aluminum
Iko kwenye fenci ila hailazi gali
Kodi 160,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.