1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿APARTMENT MMPYA MPYA MPYA #INAPANGISHWA
📍kimara stop over
🕑Km 2 kutoka stand ya mwendo kasi usafili bajaji 700 bodaboda 1500 mpaka Getini
#SIFAZAKE
🔹Chumba kimoja master
🔹Sebule
🔹Umeme Sub-Meter Yake 2Tu
🔹Fenced usalama wa kutosha No uswahili
🔹Zipo 2 Hapa, Moja hii Iko wazi
🔸Kodi Tsh 150,000/-x,6(Miezi sita )
🔸Malipo ya Dalali Tsh 150,000/=
🔸Service Charge Tsh 15,000 kuona nyumba
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347