1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


Apartment MPYA Inapangishwa KIMARA KOROGWE dk3
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Inajengwa fenci
Kodi 250,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.