1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA INAJITEGEMEA UMEME WAKE NA MAJI YANAFLOO NDANI
SIFA ZAKE;
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
LOCATION:KIMARA SUKA
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 1.5...USAFIRI BAJAJI 800
NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA USALAMA UPO WAKUTOSHA
BEI:LAKI 160K X MIEZI 6
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
#0625606710