1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/05/2025
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA KIMOJA
#CHOO CHA NDANI
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI SOMA KWA MAKINI 200,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA NYUMBA ITABAKI NA MADIRISHA YA KAWAIDA ILA 250,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA UTAWEKEWA ALUMINUM SLAIDING WINDOW
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.