1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA KOROGWE KWA MKUWA PIA UNAWEZA PITIA UBUNGO EXTRENAL POTE BAJAJI ZIPO 500 KUNA DALADALA ZA MOJA KWA MOJA KWENDA KARIAKOO
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba Kimoja Cha Kulala Kikubwa
• Sehem ya jiko
• Choo Kizuri Ndani
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞_𝙣𝙞 Tsh. 200,000 Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 15,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
SIMU
0712656027