1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Baruti
🕑Dakika 1.5km Kutoka Kituo cha Mwendokasi, Bajaji 500 Au Boda Boda 1000.
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Umeme Luku yake, Maji yanaflow ndani
🔹Ndani ya Fensi, Isiolaza Gari
🔶Kodi Tsh 170,000/=×5(Miezi Mitano)
🔶Malipo ya Dalali Jose Tsh 170,000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊