1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #ZINAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍 Kimara Temboni
🕑2km Kutoka Morogoro Road Mpaka Hapo, Bajaji 700 tu Ukishuka Umefika
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master kizuri
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Umeme Luku Wawili, Maji Meter yake na yanaflow chooni & Jikoni
🔹Fenced Car Parking Kubwa
♦️Kodi Tsh 180,000/=×4(Miezi Minne)
♦️Malipo ya Dalali Jose Tsh 180,000/=
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊