1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ 180k
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA SUKA
Umbali wa Kilomita 1 Kutoka Main Road, Boda 1000
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule kubwa
โข Chumba Kimoja Cha Kulala Master
โข Public Toilet ya Wageni
โข Jiko Kubwa
Apartment zipo 4 ndani ya Fensi Parking ipo Mazingira Mazuri Umeme LUKU INAJITEGEMEA na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 180,000 Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 15,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747