1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA YA CHINI IPO WAZI
#MASTER BED ROOM NA JIKO
#CHUMBA KIMOJA NA CHOO CHAKE NA JIKO
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA TAADHALI YA MWEZI MMOJA
0677445508