1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿APARTMENT #INAPANGISHWA
📍kimara mwisho
🕑Km 3 kutoka stand ya mwendo kasi usafili bajaji 1000 bodaboda 1500 mpaka mlangoni
#SIFAZAKE
🔹Chumba kimoja kikubwa
🔹Jiko
🔹Choo cha ndani
🔹Sebule Kubwa
🔹Umeme Sub-Meter Yake 2Tu
🔹Fence amna usalama wa kutosha No uswahili
🔹Zipo 2 Hapa, Moja hii Iko wazi
🔸Kodi Tsh 150,000/-x,6(Miezi sita )
🔸Malipo ya Dalali Tsh 150,000/=
🔸Service Charge Tsh 15,000/=
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347