1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 APARTMENT ZIPO MBILI TU MOJA KATI YA IZO #INAPANGISHWA
📍kimara korogwe
🕑Dakika 10-12 Kutembea kutoka kituo cha Mwendokasi
🔹SIFAZAKE
🔹Chumba, Kimoja master Kizuri
🔹Kibaraza chake
🔹Umeme submitter 2 Tu , Maji yanaflow ndani masaa 24
✍️Fance amna ila usalama wa kutosha
📌Mazingira Tulivu Sana ( No uswahili hapa)
👉 inakuwa wazu tar 01/02/2024 kuona ndani na kufanya malipo una ruhusiwa kabisa
🔸Kodi Tsh 120,000/=x6 (Miezi Sita)
🔸Malipo ya Dalali roony Tsh 120,000/=
🔸Service Charge Tsh 15,000/=
#Piga_📞simu
O627977383
#0& Whatsap
#please #Follow us 🙏
Karibu Sana Mteja😊