1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







:
CHUMBA MASTER BEDROOM NA JIKO (160k) #Mpyaa
#ππ€πππ©ππ€π£: KIMARA TEMBONI
#πΏππ¨π©ππ£ππ: Kilomlta 2 Kutoka Main Road, Usafiri Bajaj 700
#ππππ_πππ π
============
β’ Chumba Kimoja Kikubwa Cha Kulala Master bedroom
β’ Jiko Kubwa la Kisasa
β’ Public Toilet ya Wageni Nje
Apartment zipo 4 ndani ya Fensi ya Waya Nzuri Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#ππ€ππ_π π¬π_ππ¬ππ―π π£π Tsh. 160,000/- Malipo Miezi 6
#πΌπ£πππ‘ππ―π€
Survey Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#πΏππ‘ππ‘π_πππͺπ£ππ€
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp



















