1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENTS MPYA KABISA ZINAPANGISHWA
Location: KIMARA KOROGWE
Distance:,KM 2,KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
KODI 200,000 Γ 6
SEBULE KUBWA
CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA/OPEN KITCHEN
LINAFUNGWA MAKABATI
PUBLIC TOILET π»
TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
FENCE INAJENGWA
PARKING SPACE IPO π
UMEME LUKU YAKO
MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI 24HRS
GOOD ENVIRONMENT π
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE 15,000
CONTACT US
0688 067 289 π
0714 418 005 WhatsApp