1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent
Location: KIMARA TEMBONI
Distance: Dakika 1.5 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Boda 1000
KODI 300,000 × 6
⚡️Sebule Kubwa
⚡️Chumba Kimoja Kikubwa Master
⚡️Jiko Kubwa la Kisasa
⚡️Full A/c
⚡️CCTV Cameras 📷
⚡️Heater Ya Maji Moto
⚡️Fenced
⚡️Full Paving Blocks 🚫
⚡️Parking Space Available 🚘
⚡️Umeme LUKU Yako
⚡️Maji Meter Yako &Yanaflow Ndani 24HRS
⚡️Reserve TANK
⚡️Good Environment 👍
📌KUNA CAUTION MONEY 1 MONTH
📌ITAKUWA WAZI 10/05/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp