1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment MPYA Inapangishwa KIMARA MWISHO dk10
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Sebule
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Iko kwenye fenci
Usalama wakutosha
Kodi 300,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.



















