1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿APARTMENT #INAPANGISHWA
Kimara Korogwe, Dakika 12-15 Kutembea Kutoka Mwendokasi, Piki Piki ni 1000 tu.
#SIFAZAKE
🔹Chumba kimoja master kikubwa
🔹Sebule Kubwa
🔹Umeme Sub-Meter Yake
🔹Maji #Inajitegemea na yanaflow ndani
🔹Fence amna , Parking Ipo kubwa
🔹mazingira tulivu
📌Zipo 3 Hapa, Moja hii inakuwa wazi tar 15/11/2024 kuona mazingira na kufanya malipo Una ruhusiwa
🔸Kodi Tsh 180,000/-x4,5,6(Miezi )
🔸Malipo ya Dalali Tsh 180,000/=
🔸Service Charge Tsh 15,000/=
#Piga_simu👇
O627977383
#. &Whatsapp
#please #Follow us..🙏
Karibu Sana Mteja☺