1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara bucha
🕑Km 1 Kutoka stand ya Mwendokasi, usafili boda 1000 kwa mguu dk 15
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Sebule
🔹kibalaza cha kupikia
🔹Umeme LUKU wanashare 3 kila mmoja ana submiter yake ya umeme ,
🔹 Maji yanaflow ndani 24/7 hrs
🔹Fenced Car Parking kubwa
📌 Hii ipo wazi kabisa
🔶Kodi Tsh 220, 000/=×, Miezi kuazia ,3 4,5,6
🔶Malipo ya Dalali Tsh 220, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊
0753 989554
0773700963
=====