1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(250,000 ร 6) ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ง๐๐ ๐๐ข๐ก๐
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= ร 6
ITAKUA WAZI KUANZIA 05/04/2025 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA SANA
#PAVING BLOCKS ๐ซ
BEI NI 250,000/= ร 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU AU UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI UPANDE HUO HUO NI DK 5 TUU KWA MIGUU HADI KWENYE NYUMBA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2025 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp