1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara Stop Over, umbali wa dakika 15 Kutembea Kutoka morogoro main Road, Boda boda ni 1000 tu.
#SIFAZAKE
Hii ina Chumba Kimoja Master, Sebule na Jiko
Umeme Luku yake & Maji dawasa yanaflow ndani
Imefungwa Air conditioner na Heater za Maji Moto
Fensi ya umeme, security Camera na Parking ipo kubwa
Kodi Tsh 330,000/=ร6(Miezi Sita)
Malipo ya Dalali Tsh 330,000/=
Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu ๐
,
#0688573777. ๐&Whatsapp
,
#please #Follow us๐
Karibu Sana Mteja๐