1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment inapangishwa KIMARA KOROGWE dk3
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule
Jiko la kisasa
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking yakutosha
Kodi 250,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 12
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.