1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 250,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp